Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Uongo wamponza, afungwa jela miaka 20, polisi wachoshwa natabia zake

Tuesday 02-04-2019 09:00:05am Bongo5


Mwanamume mmoja wa California- nchini Marekani amefungwa miaka 20 jela kwa kuwapigia simu za uongo polisi, ikiwemo simu moja mbayo ilisababisha kuuawa kwa mwanaume asiye na hatia. Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, Tyler Barriss alifanya kile kinachoitwa “swatting” ambapo simu bandia hupigwa kwa polisi kwa ajili ya kuwaagiza polisi kutumia silaha na …The post Uongo wamponza, afungwa jela miaka 20, polisi wachoshwa natabia zake appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E