Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

UN yataka uchunguzi mauaji ya wanafunzi Sudan

Tuesday 30-07-2019 09:00:07pm Bongo5


Umoja wa Mataifa umetaka kufanyike uchunguzi wa mauaji ya wanafunzi watano wakati wa maandamano ya raia nchini Sudan ya kushinikiza serikali ya kiraia kabla ya mazungumzo kuhusu serikali ya mpito nchini humo. Kwa mujibu wa shirika la habari la DW, Taarifa iliyotolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limetoa mwito kwa …The post UN yataka uchunguzi mauaji ya wanafunzi Sudan appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E