🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 11-04-2019 09:00:03am Bongo5
Viongozi wa Ulaya wamekubaliana na Uingereza kuchelewesha muda wa Brexit kwa miezi sita, na kuliepusha bara hilo na kile kingekuwa ni kuondoka Uingereza kwa njia ya vurugu bila ya makubaliano mwishoni mwa wiki hii. Rais wa Baraza la Ulaya Donald Tusk amethibitisha kuwa Uingereza mara hii imepewa hadi Oktoba 31 kukamilisha mchakato wa kuondoka rasmi. …The post Uingereza yapewa miezi sita kujitoa umoja wa Ulaya appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E