Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Ugonjwa wa ini janga lingine Tanzania, Maambukizi yatajwa kuongezeka kwa kasi kuliko Ukimwi

Friday 19-07-2019 09:00:03pm Bongo5


Imeelezwa kuwa maambukizi ya ugonjwa wa homa ya ini (Hepatitis B) yameongezeka nchini, huku wananchi waliowengi wakiwa hawana uelewa juu ya ugonjwa huo. Taarifa hiyo ilitolewa jana Julai 18, 2019 katika kongamano la madaktari na wauguzi lililofanyika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Ambapo Daktari bingwa wa homa ya ini, Dkt. John Rwegasha, amesema utafiti unaonesha …The post Ugonjwa wa ini janga lingine Tanzania, Maambukizi yatajwa kuongezeka kwa kasi kuliko Ukimwi appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E