🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 30-08-2019 09:00:03pm Bongo5
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Baker Kasumba (21), ameshambuliwa na watu wasiojulikana wakati akitoka kazini kuelekea nyumbani katika eneo la Kalerwe, Jijini Kampala siku ya Alhamisi ya Agosti 29, 2019 ya wiki hii. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi mjini Kalerwe, Imeeleza kuwa Kasumba alikutwa amepigiliwa misumari ya nchi 6 kwenye …The post UGANDA: Asulubiwa kwa kupigiliwa misumari kwenye mikono, Yadaiwa ameponzwa na kofia ya chama tawala appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E