🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Sunday 15-07-2018 09:00:02pm Bongo5
Timu ya Taifa ya Ufaransa imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia 2018 kwa kuichapa Croatia bao 4-2. Magoli ya Ufaransa yamefungwa na Mbappe, Griezmann, Pogba na moja akijifunga Mario Mandzukic kunako dakika ya 18. Kwa upande wa Croatia magoli yamefungwa na Ivan Perisic na Mario Mandzukic na hadi kipenga cha mwisho Ufaransa Croatia 2. Goli la Kylian …The post Ufaransa watwaa Kombe la Dunia, Kylian Mbappe aingia kwenye rekodi iliyowekwa na Pele mwaka 1958 appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E