🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 07-11-2018 09:00:02pm Bongo5
Chama tawala nchini Marekani cha Republican kinachoongozwa na Rais Donald Trump kimeendelea kupoteza wawakilishi (Viti) katika bunge la Congress kwenye uchaguzi mdogo unaoendelea nchini humo. Mpaka sasa majimbo 411 yametangaza matokeo, ambapo Democrats wanaongoza kwa viti 218 huku Republicans wakifuatia na viti 193, huku matokeo mengine ya majimbo 34 ya uchaguzi yakitarajiwa kutangazwa baadae. Hata …The post UCHAGUZI MAREKANI: Republicans waongoza kwenye Useneta na Ugavana, Democrats watikisa Bunge la Congress appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E