Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Ubelgiji yaibuka mshindi wa tatu wa michuano ya kombe la dunia 2018

Saturday 14-07-2018 09:00:01pm Bongo5


Timu ya taifa ya Ubelgiji imefanikiwa kuibuka na ushindi wa jumla ya mabao 2 – 0 dhidi ya Uingereza mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa michuano ya kombe la dunia. Mchezo huo uliyopigwa kwenye dimba la Krestovsky Ubelgiji ilipata mabao yake kupitia kwa wachezaji wake, Thomas Meunier dakika ya nne na Eden Hazard dakika ya 82. Mara .The post Ubelgiji yaibuka mshindi wa tatu wa michuano ya kombe la dunia 2018 appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E