Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Tumaini la Madrid kumnasa Eden Hazard laongezeka, Chelsea yang’ang’ania dau hili

Monday 08-04-2019 09:00:04pm Bongo5


Matumaini yamezidi kuongezeka kwa klabu ya Real Madrid kufanikiwa kupata saini ya Eden Hazard majira haya joto. Hata hivyo Chelsea inashikilia mpango wake wa dau la paundi milioni 100 ili kumuachia Hazard. Mbelgiji huyo ameonyesha nia yake ya kutaka kutimkia Bernabeu kujiunga na kocha mpya, Zidane. “Wakati mwingine ninapo amka asubuhi, ninachokifikiria kichwani mwangu ni …The post Tumaini la Madrid kumnasa Eden Hazard laongezeka, Chelsea yang’ang’ania dau hili appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E