🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 29-08-2018 09:00:02am Bongo5
Rais wa Marekani Donald Trump amezionya kampuni za mawasiliano ya mtandao Google, Twitter na Facebook kwa kile alichokiita kuminya taarifa zake na za mrengo wa kihafidhina. Akiongea na wanahabari katika ikulu ya White House, Trump amesema, “Google wamekuwa wakihadaa watu wengi, ni jambo zito sana.” Akaziongeza kuwa Twitter na Facebook, “inawapasa wawe makini, hauwezi ukawafanyia …The post Trump azionya kampuni za mawasiliano ya mtandao Google, Twitter na Facebook kuminya taarifa zake appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E