🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 19-11-2018 09:00:03pm Bongo5
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema amefahamishwa kuhusu mkanda wa sauti wa mauaji ya mwanahabari, Jamal Khashoggi lakini binafsi hatousikiliza. Kwa mujibu wa BBC, Trump ameiyambia runinga ya Fox News “Tunao mkanda, Sihitaji kuhusikia, hakuna sababu ya mimi kuusikia,” amesema Trum na alipoulizwa sababu za kutotaka kuusikia amesema kuwa ” Kwa sababu ni mkanda wa …The post Trump akataa kusikiliza mkanda wa sauti mauji ya Khashoggi ‘Sina sababu ya kusikiliza’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E