🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 23-02-2019 09:00:03pm Bongo5
Ikiwa ni tour yake katika bara la Ulaya mwanadada Onika Tanya Maraj alimaarufu Nicki Minaj ambaye ni miongoni mwa marapper wa kike wanaofanya vizuri duniani akitokea nchini Marekani. Kwa mujibu wa TMZ. Katika show yake ambayo angetakiwa kifanya jana nchini Slovakia Nicki Minaj hakuweza kufanya baada ya uwanja aliopangwa kufanyika kukumbwa na masuala makubwa yaliyo nje ya uwezo wake ikidaiwa tatizo kubwa lilikuwa ni umeme. Lakini imeelezwa kuwa Nicki bado alihakikisha …The post Tatizo la Umeme nchini Slovakia lasababisha show ya Nicki Minaj kuahirishwa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E