Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

TANESCO haihitaji ruzuku ya serikali na litaanza kutoa gawio- Waziri Dk Kalemani

Thursday 30-05-2019 09:00:04am Swahili Times


Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema kwamba Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa sasa halihitaji ruzuku kutoka serikalini na kuanzia mwaka ujao wa fedha, 2019/20 litaanza kutoa gawio (serikalini). Dk Kalemani aliyesema hayo jijini Dodoma alipokuwa akiwasilisha bajeti ya wizara yake ambapo alibainisha kuwa Tanesco kwa sasa haihitaji ruzuku ya Serikali katika shughuli zake Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E