🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 14-09-2018 09:00:02pm Bongo5
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) leo Septemba 14, 2018 imetangaza zawadi kwa mwananchi yeyote atakayefanikisha kupatikana kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya usajili klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope na Frankline Lauwo baada ya TAKUKURU kuwatafuta kwa njia za kawaida na kutowapata. Mnamo April 30, 2018 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ilitoa amri …The post TAKUKURU watangaza zawadi nono kwa atakayefanikisha kumpata Hans Pope wa klabu ya Simba appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E