Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Tajiri namba moja duniani, Jeff Bezos wamwagana na mkewe wa ndoa, skendo za usaliti zahusishwa

Thursday 10-01-2019 09:00:03pm Bongo5


Afisa Mtendaji Mkuu na mwanzilishi wa mtandao wa Amazon, Jeff Bezos na mkewe MacKenzie wamepeana talaka baada ya kuishi miaka 25 kwenye ndoa. Jeff Bezos na mkewe Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na wawili hao kwenye mtandao wa Twitter, wameeleza kuwa watabaki kuwa marafiki biashara na kulea watoto pamoja. pic.twitter.com/Gb10BDb0x0— Jeff Bezos (@JeffBezos) January 9, …The post Tajiri namba moja duniani, Jeff Bezos wamwagana na mkewe wa ndoa, skendo za usaliti zahusishwa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E