Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Tabia 5 ambazo hupaswi kuzivumilia katika uhusiano wa kimapenzi

Monday 17-09-2018 09:00:02pm Swahili Times


Wahenga wanaomsemo unaosema kuwa, aliyependa hashauriki. Msemo huu unaukweli ndani yake kwa sababu kuna watu wanafanya mambo hadi unajiuliza, alikuwa ana waza nini? Ukweli ni kwamba uhusiano unaweza ukawa ni jambo la kukufanya uwe na furaha na ukaliwaza kila siku, lakini hali inaweza kubadilika hadi ukatamani muachane kutokana na maumivu unayopitia. Makala hii italezea tabia tano ambazo hupaswi kuzivumilia katika uhusiano. 5. Kutawaliwa Sina hakika kama hilo ndio jina bora la kuipata tabia hii, lakini suala kubwa hapa ni kwamba mnapokuwa katika uhusiano, mnakuwa mpo watu wawili. Sasa asiwepo mtu yeyote ambaye maamuzi yote anafanya yeye mwenyewe kwamba akishaamua, basi mwingine . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E