Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Slovenia: Mbunge ajiuzulu baada ya kuiba mkate dukani, spika adai ni kitendo kisichokubalika

Friday 15-02-2019 09:00:03am Bongo5


Mbunge mmoja nchini Slovenia amejiuzulu baada ya kuiba mkate maarufu ”sandwich” katika duka moja kwa madai kuwa wahudumu wa sehemu hiyo walimpuuzia. Mkate maarufu aina ya sandwich Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, Darij Krajcic ameviambia vyombo vya habari vya ndani kuwa alipuuzwa na wafanyakazi wa duka hilo na walikua wakiendelea na shuguli …The post Slovenia: Mbunge ajiuzulu baada ya kuiba mkate dukani, spika adai ni kitendo kisichokubalika appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E