🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 29-12-2018 09:00:03pm Bongo5
Aliyekuwa kocha wa klabu ya Manchester United mwenye mafanikio makubwa, Sir Alex Ferguson hii leo anatarajiwa kuwepo kwenye viunga vya Carrington kumpa ushirikiano meneja wa sasa Ole Gunnar Solskjaer ambaye ndiye aliyemualika. Ferguson atakuwa na furaha kubwa atakapomuona Solskjaer pamoja na benchi lake la ufundi kwenye viwanja hivyo vya mazoezi vya Carrington wakati United ikijiandaa …The post Sir Alex Ferguson kutua viwanja vya mazoezi vya Carrington kuungana na Ole Gunnar Solskjaer appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E