Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Simu zenye uwezo wa kukunjwa kama waleti zazinduliwa rasmi China

Friday 02-11-2018 09:00:02am Bongo5


Kampuni moja ya kiteknolojia yenye makao yake California Marekani imeweka rekodi kwakuwa ya kwanza kuzindua simu ya ambayo unaweza kukunjwa. Royole Corporations imezindua FlexiPai katika hafla ya kufana mjini Beijing China. Kampuni hiyo imeanza kuuza simu hiyo janja nchini China tarehe 31 ya mwezi Oktoba baada ya kuzinduliwa kwake. Gharama yake inakadiriwa kuwa Yuan 8,999 …The post Simu zenye uwezo wa kukunjwa kama waleti zazinduliwa rasmi China appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E