🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 05-02-2019 09:00:03am Bongo5
Baada ya kupokea kichapo kibaya cha jumla ya mabao 5 – 0 dhidi ya Mafarao wa Misri klabu ya Al Ahly mwishoni mwa wiki, hatimaye wawakilishi wa Tanzania Simba SC wameanza kurejea nchini kwa mafungu. Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Simba zinasema kuwa baadhi ya wachezaji, benchi la ufundi na viongozi wamewasili salama nchini …The post Simba yatua Dar kwa mafungu ikitokea Misri kweye mchezo wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Al Ahly appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E