Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Simba yamchinjilia mbali mwarabu taifa, yapata ushindi mnono mbele ya Waziri Mkuu, Okwi, Kagere moto

Saturday 12-01-2019 09:00:04pm Bongo5


Klabu ya Simba sport club kutoka jijini Dar Es Salaam, mitaa ya Kariakoo imefanikiwa kuigaragaza klabu ya JS Saoura kutoka nchini Algeria katika dimba la Taifa jijini Dar Es Salaam. Ikicheza kandanda la aina yake mbele ya Waziri Mkuu Mh. Kassimu Majaliwa, klabu hiyo imefanikiwa kupata ushindi mnono katika kundi lake la D. Mesie Kagere …The post Simba yamchinjilia mbali mwarabu taifa, yapata ushindi mnono mbele ya Waziri Mkuu, Okwi, Kagere moto appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E