Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

SIMANZI: Mama aporwa mtoto wake na Simba, Yadaiwa aliingia ndani na kuwakuta wakiwa wamelala kitandani

Tuesday 06-08-2019 09:00:02pm Bongo5


Mtoto mmoja wa miaka 6 aliyetambulika kwa jina la Kangwa Manuga ameuawa na Simba, Baada ya kuchukuliwa kitandani akiwa amelala na mama yake mzazi katika Kijiji cha Sitalike wilayani Mpanda, mkoani Katavi. Akithibitisha taarifa hizo mbele ya waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Benjamin  Kuzaga, amesema tukio limetokea mwishoni mwa wiki iliyopita …The post SIMANZI: Mama aporwa mtoto wake na Simba, Yadaiwa aliingia ndani na kuwakuta wakiwa wamelala kitandani appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E