Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Serikali ya Tanzania yatangaza kuuza Mamba na Viboko, Waziri Kigwangalla aeleza sababu

Sunday 18-08-2019 09:00:03am Bongo5


Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla amesema Serikali ya Tanzania itaanza kuuza 10% ya Mamba wote nchini pamoja na kupiga mnada Viboko kwa kile alichokieleza kuwa kumekuwa na ongezeko kubwa la wanyama wakali kuingia katika makazi ya watu. Dkt.  Kigwangalla amesema hayo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii na kusema kuwa wataweka …The post Serikali ya Tanzania yatangaza kuuza Mamba na Viboko, Waziri Kigwangalla aeleza sababu appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E