Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Sergio Ramos afunguka kuhusu Mourinho ‘Ni kocha wa kiwango cha juu, kila mtu anamuhitaji’

Saturday 22-12-2018 09:00:02pm Bongo5


Nahodha wa Real Madrid, SergioRamos amesema kuwa kila mmoja angependa kuwa na kocha kama Jose Mourinho ndani ya timu yake kwakuwa anakiwango cha hali ya juu, huku hakusita kusisitiza kuwa nilazima kumheshimu meneja waliyenae kwa sasa, Santiago Solari. Mourinho ambaye ameiyongoza Real kuanzia mwaka 2010 hadi 2013 ametimuliwa kazi Manchester United siku ya Jumanne baada …The post Sergio Ramos afunguka kuhusu Mourinho ‘Ni kocha wa kiwango cha juu, kila mtu anamuhitaji’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E