Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Saudi Arabia kuwanyima viza mahujaji wa DRC Congo, wizara yadai ni sababu za kuisalama

Saturday 27-07-2019 09:00:03am Bongo5


Saudi Arabia haitatoa viza ya kusafiria kwa mahujaji kutoka nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, imeeleza wizara ya mambo ya nje katika taarifa yake. Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, Wizara imesema uamuzi ulifikiwa kutokana shirika la afya duniani, WHO kutangaza kuwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini DRC ni suala la dharura …The post Saudi Arabia kuwanyima viza mahujaji wa DRC Congo, wizara yadai ni sababu za kuisalama appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E