🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 23-11-2018 09:00:02am Bongo5
Nyota wa klabu ya Liverpool, Sadio Mane amekubali kuongeza mkataba wa kuendelea kusalia ndani ya miamba hiyo ya soka ya England. Mane mwenye umri wa miaka 26 amekubali kandarasi hiyo itakayo mfanya kuendelea kuwepo Anfield hadi mwaka 2023. Meneja wa timu hiyo, Jurgen Klopp amemwagia sifa nyota huyo kwakusema kuwa hakuna klabu yoyote barani Ulaya …The post Sadio Mane aongeza kandarasi Liverpool, Jurgen Klopp amwagia sifa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E