Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Rubani mlevi akamatwa Uwanja wa Ndege

Friday 02-11-2018 09:00:02pm Swahili Times


Rubani wa Ndege ya Shirika la Ndege la Japan (Japan Airlines), Katsutoshi Jitsukawa (42) amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Heathrow jijini London baada ya kukutwa na kiwango cha pombe zaidi ya kiwango kinachoruhusiwa kwa mujibu wa sheria. Rubani huyo alikamatwa Oktoba 28 mwaka huu baada ya kupimwa na kipimo cha pombe ambacho kilionesha alikuwa na 189mg za pombe kwa ujazo wa damu wa mililita 100 ambapo kiwango kinachoruhusiwa ni 20mg. Akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Uxbridge, mtuhumiwa huyo alikiri kunywa pombe kuzidi kiwango. Shirika la Utangazaji la Japan (NHK) limesema kuwa polisi walepewa taarifa za rubani huyo . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E