🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 02-09-2019 09:00:04pm Bongo5
Mwanafunzi wa mafunzo ya Urubani aitwaye Max Sylvester (29) kutoka nchini Australia amefanikiwa kutua ndege salama baada ya mwalimu wake kuzimia angani akiwa anamfundisha mwanafunzi huyo jinsi ya kurusha ndege. Max amesema wakiwa angani, Alishangaa ghafla mwalimu wake akimlalia kwenye bega jambo ambalo lilimsitua na kuanza kumuamsha. Alitumia dakika mbili kumuamsha lakini hakuamka, Ndipo alipoanza …The post Rubani azimia ghafla angani, Mwanafunzi wake aomba msaada wa maelezo jinsi ya kutua appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E