Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

RPC Muroto azuia maandamano ya ACT ‘atakayeandamana atapigwa hadi achakae’

Monday 08-04-2019 09:00:04pm Bongo5


Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amewatahadharisha waliopanga kufanya maandamano kesho Jumanne Aprili 9, 2019 akisema watakaoingia barabarani watapigwa na kuchakaa. Kamanda Muroto amewaambia waandishi wa habari jijini Dodoma leo Jumatatu Aprili 8, 2019 kuwa zipo taarifa zina sambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa baadhi ya vyama vya upinzani ikiwepo ACT Wazalendo wamepanga …The post RPC Muroto azuia maandamano ya ACT ‘atakayeandamana atapigwa hadi achakae’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E