🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 09-05-2019 09:00:04am Bongo5
Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Rose Ndauka ameomba kazi ya kumfanyia usafi kwenye saluni yake ya Connexion mchekeshaji MC Pilipili ikiwemo kumnyoa ndevu na huduma nyingine. Kwa upande mwingine, Rose Ndauka ambaye aliwahi kuwa Girlfriend wa MC Pilipili amemsifia pia mchumba wa sasa wa MC Pilipili kwa kusema ni mzuri sana kwa muonekano.The post Rose Ndauka aomba ajira kwa MC Pilipili ‘natamani anipe kazi, ana mke mzuri sana’ (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E