Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Ronaldo kurejea uwanjani kuikabili Udinese, kocha wa Juventus amwagia sifa 

Friday 05-10-2018 09:00:02pm Bongo5


Mshambuliaji hatari duniani anaekipiga ndani ya klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo anatarajiwa kurejea uwanjani hapo kesho kuikabili timu ya Udinese. Nyota huyo hatari kunako mchezo wa soka anakabiliwa na tuhuma za kumbaka mwanadada, Kathryn Mayorga raia wa Marekani ambaye amesema kuwa kitendo hicho amefanyiwa mwaka 2009 huko Las Vegas. 🎙 @OfficialAllegri: "Tomorrow I could go with a …The post Ronaldo kurejea uwanjani kuikabili Udinese, kocha wa Juventus amwagia sifa  appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E