🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 06-08-2018 09:00:02pm Bongo5
Rapa Roma Mkatoliki ameamua kufunguka na kuweka wazi hisia zake dhidi ya BASATA kwa kudai kuwa wanaua Sanaa, ubunifu na vipaji vya Watanzania. Roma kupitia ukurasa wake wa Twitter amefunguka hayo na kuwaomba Watanzania waeleze makosa yanayopatikana kwenye wimbo wao mpya na Stamina wa Parapanda. “BASATA You Are Killing 1. An Art 2. Creativity 3.Talent …The post Roma awatolea uvivu BASATA ‘mnaua sanaa, ubunifu na vipaji. hivi wimbo wa Parapanda una matatizo gani?’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E