🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 02-08-2019 09:00:03pm Bongo5
Rapper Rick Ross kutoka Marekani ametangaza tarehe rasmi ya kuachia Album yake ya ‘Port of Miami 2’ itakayokuwa na nyimbo 15. Rick Ross kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Amesema kuwa Album hiyo itatoka Agosti 9, 2019 . Kwenye album hiyo amewashirikisha wakali wengine kama, Drake, Meek Mill, Swizz Beatz, Marehemu Nipsey Hussle na …The post Rick Ross atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ya ‘Port Of Miami 2’, Itakuwa na nyimbo 15 appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E