🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 15-11-2018 09:00:02pm Bongo5
Klabu ya Real Madrid ipotayari kuipatia Paris Saint-Germain kitita kinono cha fedha endapo italazimika kuwauza wachezaji wake Neymar au Kylian Mbappe ili kuepuka sheria za Chama cha soka barani Ulaya dhidi ya udhibiti wa fedha (FFP). UEFA ilianzisha sheria ya fedha ili kudhibiti klabu kutofanya matumizi makubwa zaidi kuliko kile wanachokiingiza hali ambayo itapelekea kutumbukia kwenye janga la kiuchumi. Kitendo cha …The post Real Madrid yawanyapia Neymar na Kylian Mbappe, wakati PSG ikichunguzwa na UEFA appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E