🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 06-03-2019 09:00:03am Bongo5
Klabu ya Real Madrid imetupwa nje ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya kwa kukubali kichapo cha goli 4-1 dhidi ya Ajax FC. Hii inakuwa mara ya kwanza kwa Ajax kufuzu robo fainali ya michuano hiyo tangu msimu wa mwaka 2002/03. Matokeo mengine ya usiku wa UEFA ni Spurs wameiadhibu Borusia Dortmund kwa goli 1-0 …The post Real Madrid wageuka vibonde barani Ulaya, watupwa nje ya michuano ya UEFA nyumbani kwao appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E