🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 08-01-2019 09:00:02pm Bongo5
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amewahakikishia wanafunzi 31,092 sawa na 47% ya watoto 64,861 ambao walifaulu katika mkoa huo kuendelea na masomo yao ya kidato cha kwanza kwakuwa serikali imeanza ujenzi na ukarabati wa vyumba vya madarasa 622 ili kuhakikisha hakuna mwanafunzi atakaeachwa kwa kigezo cha uhaba wa madarasa. RC …The post RC Makonda: Madarasa 622 yatapatikana kila mwanafunzi aliyefaulu Dar aende kidato cha kwanza (Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E