🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 23-02-2019 09:00:03pm Bongo5
Kocha mkuu wa klabu ya Azam FC, Hans Van Der Pluijm ametimuliwa kazi ya kuendelea kuinoa timu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Chamazi jijini Dar es salaam. Mbali na Pluijm kocha msaidizi naye Juma Mwambusi amefungashiwa virago huku, Ettiene Ndayiragije wa KMC akitarajiwa kurithi mikoba hiyo kwa muda. Kutimuliwa kazi kwa Pluijm kunatokana na …The post RASMI: Hans Van Der Pluijm atimuliwa Azam FC, kipigo cha Simba champonza na huyu ndiye mrithi wake appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E