🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 05-07-2019 09:00:05am Bongo5
Rapa kutoka nchini Marekani Young Thug ametangaza kuwania urais wa Marekani ifikapo 2024 kwa madai anataka kumpiku rais wa sasa wa Taifa hilo Donald Trump. Kupitia mtandao wake wa Twitter ameshea ujumbe huo huku akimtaja mshkaji wake wa karibu Gunna kuwa ndiye atakaye kuwa makamu wa rais baada ya yeye kushinda. Happy 4th MR. president …The post Rapa kutoka Marekani Young Thug, ametangaza kuwania urais wa Marekani ifikapo 2024, aeleza sababu hizi appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E