Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Rais mstaafu Dr. Kikwete afanya ziara katika mashamba yake Jijini Dodoma (Video)

Tuesday 16-07-2019 09:00:03pm Bongo5


Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete amefanya ziara fupi katika Jiji la Dodoma kwa lengo la kutembelea maeneo ambayo aliyanunua miaka ya 1980. Katika ziara yake hiyo, aliambatana na Mke wake, Mama Salma Kikwete, watoto wake, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin kunambi pamoja na Wataalamu …The post Rais mstaafu Dr. Kikwete afanya ziara katika mashamba yake Jijini Dodoma (Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E