Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Rais Magufuli aitaka Sekretarieti ya SADC kujitathmini, hotuba yake yapokelewa kwa shangwe (+Video)

Saturday 17-08-2019 09:00:01pm Bongo5


Mwenyekiti Mpya wa Jumuiya ya maendeleo Kusini mwa Afrika SADC, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli amezitaka Jumuiya za Kimataifa kuiondolea vikwazo vya kiuchumi nchi ya Zimbabwe. Rais Magufuli amekabidhiwa Uenyekiti wa nchi za jumuia ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC leo kutoka kwa Rais wa Namibia Dk. Hage Geingob alioutumikia wadhfa …The post Rais Magufuli aitaka Sekretarieti ya SADC kujitathmini, hotuba yake yapokelewa kwa shangwe (+Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E