🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 21-11-2018 09:00:02am Bongo5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameahirisha maadhimisho ya sherehe za Uhuru zilizotarajiwa kufanyika Desemba 9, 2018 na fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya kufanikisha shamra shamra hizo ameelekeza zitumike kujenga hospitali mkoani Dodoma itakayoitwa hospitali ya Uhuru. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana (Novemba 20, 2018) na Waziri …The post Rais Magufuli afuta tena sherehe za uhuru, aagiza fedha zilizotengwa zitumike kujenga hospitali (+audio) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E