🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 08-01-2019 09:00:02pm Bongo5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo amefanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na kuteua Mawaziri, Makatibu wakuu na Balozi. Kwenye mabadiliko hayo, aliyekuwa Waziri wa Madini Mhe. Angela Kairuki amehamishwa na kuwa Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu / Uwekezaji. TAZAMA ORODHA KAMILI HAPA CHINI: Angela Kairuki – Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu/UwekezajiDotto Biteko – Waziri wa MadiniStanslaus Nyongo – Naibu Waziri Madini Joseph Nyamhanga – Katibu Mkuu TAMISEMI …The post Rais Magufuli afanya uteuzi mdogo, Waziri Kairuki ahamishwa Wizara (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E