Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Rais Kenyatta ahutubia taifa kwa majonzi ‘magaidi wameuawa ila tumewapoteza wenzetu 14’ (+video)

Wednesday 16-01-2019 09:00:03am Bongo5


Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta leo Januari 16, 2019 amelihutubia Taifa hilo kufuatia tukio la shambulizi la kigaidi lililotokea siku ya jana katika Hoteli ya Dusit D2, huko Westlands, Jijini Nairobi. Rais Kenyatta amesema kuwa mpaka sasa watu 14 wameuawa na kudai kuwa magaidi wote waliohusika kwenye tukio hilo wameuawa usiku wa jana.The post Rais Kenyatta ahutubia taifa kwa majonzi ‘magaidi wameuawa ila tumewapoteza wenzetu 14’ (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E