🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 12-07-2019 09:00:03am Bongo5
Msanii nguli wa muziki wa R’n’B nchini Marekani, R. Kelly jana Julai 11, 2019 amekamatwa tena na polisi mjini Chicago kwa tuhuma nyingine za kuwaonesha watoto wadogo video za ngono. Amri hiyo ya kukamatwa kwa R. Kelly imetolewa na mahakama mjini Illinois, Hii ni baada ya kuwasilishwa shauri jipya la tuhuma hizo za unyanyasaji kingono. …The post R. Kelly akamatwa tena na polisi mjini Chicago, Atuhumiwa kosa lingine kubwa linalohusu video za ngono appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E