🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 31-07-2019 09:00:04pm Bongo5
Jeshi la Polisi Zanzibar limezuia kongamano lililoandaliwa na kamati ya maridhiano Zanzibar na kumuondoa ukumbini, Mshauri mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif. Tukio hilo limetokea leo mchana Jumatano Julai 31, 2019 kabla ya kuanza kongamano hilo katika ukumbi wa Bitulyamin Malindi mjini Unguja, Zanzibar. Hata hivyo, bado haijaelezwa chanzo cha kuzuiliwa kwa kongamano …The post Polisi wazuia kongamano visiwani Zanzibar, Waondoka na Maalim Seif (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E