Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Pigo lingine kwa watumiaji wa simu za Huawei latangazwa, Facebook, WhatsApp na Instagram wajiweka kando

Sunday 09-06-2019 09:00:04am Bongo5


Kampuni ya Facebook imetangaza rasmi kuzuia huduma wezeshi (Apps) zao kufanya kazi kwenye simu za Huawei. Zuio hilo linakuja katika vita baridi vya kiuchumi vinavyoendelea baina ya Marekani na China. Hatua hiyo ya zuio inakuja baada ya Mwezi Mei serikali ya Marekani kuzuia kampuni za Marekani ikiwemo Google kutumia huduma za Huawei kutoka China, ikieleza …The post Pigo lingine kwa watumiaji wa simu za Huawei latangazwa, Facebook, WhatsApp na Instagram wajiweka kando appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E