🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Sunday 12-05-2019 09:00:04pm Bongo5
Ikiwa zimepita siku mbili baada ya mfanyabiashara maarufu Tanzania, marehemu Reginald Abraham Mengi kuzikwa, wezi wameiba vitu vya thamani na fedha taslimu kijijini kwake Nkuu, Machame, Kilimanjaro kwenye nyumba yake ya kifahari. Vitu hivyo vinavyodaiwa kuibiwa ni mikufu ya dhahabu, kompyuta pamoja na fedha taslimu ambazo kiwango chake bado hakijaelezwa. Akithibitisha taarifa hizo, Kamanda wa …The post PIGO JUU YA PIGO: Wezi waiba vitu vya thamani na pesa taslimu kwenye jumba la kifahari la mzee Mengi appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E