Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Picha: Ndege mpya ya Tanzania Airbus 220 yatambulishwa rasmi

Friday 23-11-2018 09:00:02am Swahili Times


Kampuni ya uundaji wa ndege ya Airbus huko Mirabel, Montreal nchini Canada, jana iliitambulisha rasmi ndege mpya mali ya mteja wake ambaye ni serikali ya #Tanzania aina ya Airbus A220-300. Kampuni hiyo imesema kuwa ndege hiyo, itakuwa ndege ya kwanza ya aina hiyo kwa kampuni za ndege barani Afrika. Ndege hiyo ina uwezo wa kubeba abiria hadi abiria 160, na ina urefu wa mita 38.7, ina kimo cha urefu wa mita 11. 5 na urefu wa mabawa yake ni mita 35.1. Mbali na hayo, ndege hiyo ina uwezo wa kwenda umbali wa kilomita 5,920, na pia ina uwezo wa kuwekwa mafuta . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E