🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Monday 24-09-2018 09:00:02am Swahili Times
Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Nape Moses Nnauye amepata ajali wakati akiwa anaelekea wilayani Liwale kuungana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Taifa, Dkt. Bashiru Ally ambaye yupo ziarani wilayani humo. Nape amepata ajali hiyo leo asubuhi Septemba 24 katika Kijiji cha Kibutuka ukiwa njiani kwenda Liwale kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Renatha Mzinga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema, hakuna madhara makubwa yaliyotokea kwa waliokuwa ndani ya gari. Aidha mbunge huyo amepatiwa usafiri mwingine ili kusudi aweze kuendelea na safari yake ya kuelekea wilayani Liwale. Kamanda Mzinga amesema wameanza . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E