🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 22-12-2018 09:00:02pm Bongo5
Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amewapa nafasi ya kula sikukuu ya Christmas wachezaji wake huku akiwaonya kutokuwa wajinga kwa kuonyesha uungwa huo. Kipindi cha Jose Mourinho alikuwa akikiamrisha kikosi chake kufanya mazoezi majira ya saa 10, za jioni siku ya Christmas kabla ya kurejea Lowry Hotel. Lakini kwa meneja Solskjaer ametofautiana na Mourinho …The post Ole Gunnar Solskjaer atofautiana na Mourinho kwa hili, awaonya vijana wake kutokuwa wajinga appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E